Habari

WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA ULIOKUWA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU UPIMAJI ULIOFANYIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Imetumwa: Jan 25 , 2017

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unawakaribisha walioorodheshwa hapo chini kufika katika ofisi za OSHA zilizopo Kinondoni Manyanya karibu na mahakama kati ya tarehe 26 na 27 Januari ili waweze kupewa majibu yao. Tangazo hili linawahusu waliopimwa Muhimbili tu. Waliopimwa Bugando wanaombwa kusubiri tangazo jingine

Endelea →

Invitation to National Occupational Safety and Health Course (NOSHC) MODULE ONE 6th to 24th February, 2017

Imetumwa: Jan 04 , 2017

National Occupational Safety and Health Course (NOSHC) module One will be conducted from 6th to 24th February, 2017. Interested people are invited to attend the course. The course has been designed for occupational health and safety personnel who are responsible in Occupational Health and Safety (OHS) in workplaces at different levels. The training programme is designed to provide participants with the skills, techniques and capacity to recognize, evaluate and put in place measures to reduce or eliminate occupational hazards and promote OHS at workplaces. You are encouraged to confirm your participation as early as possible to avoid unnecessary inconveniences. Deadline for registration is 27th January, 2017. TARGET GROUP 1. Safety and Health representatives 2. Safety and Health Managers or Supervisors 3. Company occupational physicians 4. OHS trainers 5. Any other interested persons

Endelea →

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Imetumwa: Aug 31 , 2016

Maadhimisho ya Miaka Kumi na Tano (15) ya Kuanzishwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) Dodoma, 30 Augusti 2016

Endelea →

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Imetumwa: Aug 20 , 2016

UPIMAJI AFYA KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA MGODI WA BULYANHULU Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) utaendesha zoezi maalum la upimaji afya za waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa Bulyanhulu ambao waliachishwa kazi na mgodi huo mnamo mwaka 2007 bila kupimwa afya zao kinyume na Sheria ya Usa lama na Afya Mahali pa Kazi ya mwaka 2003.

Endelea →

Una Malalamiko?
Unataka kutoa taarifa ya Tukio au Ajali eneo la kazi?