
Khadija Mwenda
Kaimu Mtendaji Mkuu
Latest Downloads
Kurasa za Karibu
Tovuti Mashuhuri
Ofisi zetu
MAKAO MAKUU
Makao makuu ya OSHA yapo Dar es Salaam katika Kiwanja Na. MNY/KMB/565, Kinondoni, Barabara ya Mahakama pia kuna ofisi za kanda katika maeneo mbali mbali kote Tanzania Bara kama ifuatavyo;
Kanda ya Pwani-inajumuisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Ofisi zipo Dar es Salaam, Kinondoni Manyanya katika barabara ya Mahakama, S.L.P 519, Dar es Salaam, Simu +255 (0) 22 2760548, Nukushi +255 (0) 22 2760552, Barua Pepe: info@osha.go.tz
Kanda ya Kaskazini-inajumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga. Ofisi zake zipo Arusha katika barabara ya Uhuru/Metropal, S.L.P 47, Arusha, Simu +255 (0) 27 2546255, Nukushi +255 (0) 27 2546255, Barua Pepe: info@osha.go.tz
Kanda ya Ziwa-inajumuisha mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara. Ofisi zake zipo Mwanza katika barabara ya Stesheni, S.L.P 3087, Mwanza, Simu +255 (0) 28 2500368, Nukushi +255 (0) 28 2500368, Barua Pepe: info@osha.go.tz
Kanda ya Kati-inajumuisha mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma. Ofisi zake zipo Dodoma katika barabara ya Askar, S.L.P 1818, Dodoma, Simu +255 (0) 26 2320205, Nukushi +255 (0) 26 2320205, Barua Pepe: info@osha.go.tz
Nyanda za Juu Kusini-inajumuisha mikoa ya Mbeya, Iringa, Katavi, Njombe, Songwe na Rukwa. Ofisi zake zipo Mbeya katika mtaa wa Uzunguni, S.L.P 880, Mbeya, Simu +255 (0) 25 2502626, Nukushi +255 (0) 25 2502626, Barua Pepe: info@osha.go.tz
Kanda ya Kusini-inajumuisha mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma. Ofisi zake zipo Mtwara katika barabara ya Makonde, S.L.P 793, Mtwara, Simu +255 (0) 23 2334696, Nukushi +255 (0) 23 2334696, Barua Pepe: info@osha.go.tz