Mafunzo: Mwaliko wa mafunzo ya Usalama na Afya mahala pa kazi moduli ya pili itakayoanza tarehe 2 mpaka tarehe 20 Mei 2016

  • Duration: Three weeks
  • Inaanza: May 02 , 2016
  • Location: OSHA Training conference at our Headquarters Kinondoni DSM.
  • Fees: Tsh. 690,000

Maelezo ya Mafunzo:

Kozi ya mafunzo ya usalama mahali pa kazi itafanyika tarehe 2/05 mpaka tarehe 20/05/2016 watu wanaopenda wanaalikwa kuhudhuria kozi hii..

Una Malalamiko?
Unataka kutoa taarifa ya Tukio au Ajali eneo la kazi?