Mafunzo: mafunzo ya uwakili ya usalama na afya mahali pa kazi

  • Duration: (3)three days
  • Inaanza: Jan 13 , 2016
  • Location: DODOMA
  • Fees: 250,000/= tsh

Maelezo ya Mafunzo:

Mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi kwa kanda ya kati dodoma yataanza hivi karibuni mwezi wa kwanza mwaka 2016

Una Malalamiko?
Unataka kutoa taarifa ya Tukio au Ajali eneo la kazi?