• +255-22-2760548/2760552
 • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Wajumbe wa Timu ya Utawala

S/N Jina Cheo Barua Pepe
1. Khadija Mwenda Kaimu Mtendaji Mkuu khadija.mwenda@osha.go.tz
2. Alexander E. Ngata Mkurugenzi wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi  dosh@osha.go.tz
3. Joshua M. Matiko. Mkurugenzi wa Mafunzo, Utafiti,Takwimu na Uhamasishaji joshua.matiko@osha.go.tz
4. Bernard P. Liwola Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi bernard.liwola@osha.go.tz
5. Abdulatif A. Min-haji Mkuu wa Kitengo cha Tehama abdulatif.minhajj@osha.go.tz
6 Paul L. Gyuna Kaimu Mkuu wa Kitengo  cha Habari na Uhusiano pauli.gyuna@osha.go.tz
7. Joyce B. Mwambungu Mkuu wa Kitengo cha Sheria joyce.mwambungu@osha.go.tz
8. Beatha B. Mathias Kaimu Meneja, Fedha na Uhasibu beatha.mathias@osha.go.tz
9. Filbert C. Matotay Kaimu Meneja, Rasilimali watu filbert.matotay@osha.go.tz
10. Jerome W. Materu Meneja wa Afya jerome.materu@osha.go.tz
11. Maria L. Nyange Kaimu Meneja wa Usajili na Takwimu maria.nyange@osha.go.tz
12. Jossam J. Kamaza Kaimu Meneja wa Mafunzo, Utafiti na Uhamasishaji jossam.kamaza@osha.go.tz
13. Stephen F. Shayo Afisa Mipango Mwandamizi Stephen.shayo@osha.go.tz
14. George H. Chali Kaimu Meneja-Kanda ya Pwani george.chali@osha.go.tz
15. Juma A. Maneno Kaimu Meneja-Kanda ya Kaskazini juma.athumani@osha.go.tz
16. Uswege M. Faston Kaimu Meneja-Kanda ya Nyanda za Juu Kusini uswege.faston@osha.go.tz
17. Mashinji R. Lutema Kaimu Meneja-Kanda ya Kati robert.lutema@osha.go.tz
18. Wilbert A. Ngowi Kaimu Meneja-Kanda ya Kusini wilbert.abisay@osha.go.tz
19. Mjawa M Shenduli Kaimu Meneja-Kanda ya Ziwa mjawa.shenduli@osha.go.tz

Dhima

Kuhakikisha usalama na afya ya wafanyakazi Tanzania Bara kwa kudhibiti, kusimamia utekelezaji, na kuendeleza viwango imara vya Usalama na Afya kazini kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

Dira

Kuhakikisha sehemu za kazi ni salama na zenye Afya

Maadili

 • Uwazi
  Tunaendesha shughuli zetu kwa uwazi na kwa namna inayoelekeza na kushirikishana taarifa baina ya idara zote ndani ya taasisi 
 • Ustadi
  Tunatekeleza kazi na majukumu yetu kulingana na taratibu na viwango vilivyowekwa.
 • Uwajibikaji
  Tunawajibika kwa matokeo ya shughuli zetu na tunawaheshimu wadau wote wa ngazi zote za uendeshaji.
 • Uadilifu
  Tunazingatia haki, usawa na uaminifu kwa wateja wetu wote.
 • Kufanya kazi pamoja kama timu
  Tunaheshimu na kutambua nguvu na uwezo tofauti wa kila mfanyakazi.

 

Mambo tunayofanya

 • Usajili wa mahala pa kazi 
 • Ukaguzi wa kisheria wa mahala pa kazi (Ukaguzi wa Jumla, Ukaguzi wa Mitambo, Ukaguzi wa Usalama wa Umeme, Tafiti zinazohusu Usafi Viwandani, Uchunguzi wa Mwili, Ukaguzi wa Majengo na Ujenzi na  Ukaguzi wa mazingira kwa maana ya hali na ufanisi wa vifaa/mashine zinavyohusiana na mwili wa binadamu, k.v. kompyuta, dawati, kiti, meza, n.k.)
 • Mafunzo ya kukuza ufahamu kuhusu afya na usalama 
 • Uchunguzi wa michoro ya mahala pa kazi ili kuhakikisha mahitaji ya kiafya na kiusalama yanazingatiwa 
 • Uchunguzi wa ajali zinazotokea mahala pa kazi 
 • Kutoa ushauri husika na masuala ya sheria na kanuni
 • Kuandaa miongozo kutokana na Mahitaji ya sheria na kanuni