• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Taarifa kwa vyombo vya habari

JITIHADA ZA OSHA KATIKA KUWEZESHA UCHUMI WA VIWANDA NA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI.

Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuliimedhamiria kuwainua watanzania kutoka katika kipato cha chini kwendakipato cha kati kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025ambayo mkazo wake ni kujenga uchumi wa viwanda.

 KUSOMA MAKALA YOTE BOFYA HAPA