• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Kujenga uwezo wa watumishi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, akimsikiliza, Mkaguzi wa Usalama wa Umeme wa OSHA, Maria Ndaskoy, akielezea jinsi moja ya vifaa vyao vya ukaguzi vinavyofanya kazi.