• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Wanakikundi cha ngoma ya asili wakitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya siku ya Usalama na Afya mahali pa kazi duniani. Hafla hiyo ilifanyika katika Uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza.