• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

FARAJA KWA WATOTO

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe.Ummy Nderiananga, katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda, Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe.Majid Mwanga na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mazinyungu iliyoko Kilosa, Morogoro.