• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Kufanya kazi katika maeneo ya juu

Washiriki wa kozi ya Usalama na Afya kwa wanaofanya kazi katika maeneo ya juu (Working at Height) wakifanya mafunzo kwa vitendo katika moja ya Minara ya Mawasiliano ya Simu ya jijini Dar es Salaam.