• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Kujenga utamaduni wa kujikinga kwa watoto wadogo

Wanafunzi (jina la shule yao halikupatikana) wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya banda la OSHA baada ya kupatiwa elimu ya Usalama na Afya kazini wakati wa maonesho ya viwanda mkoa wa Pwani yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana.