• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

KUSAIDIA JAMII

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe.Ummy Nderiananga, akizungumza na wanafunzi, waalimu pamoja na viongozi mbalimbali katika Shule ya msingi Mazinyungu iliyoko wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wakati wa ziara iliyolenga kutoa vifaa mbalimbali wezeshi kwa wanafunzi wenye ulemavu na shule kwa ujumla