• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

KUWASAIDIA WATOTO WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe.Ummy Nderiananga,(watatu kushoto) na Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda (wapili kushoto) wakikabidhi baadhi ya vifaa kwa uongozi wa Shule ya Msingi Mazinyungu iliyoko Kilosa Mkoani Morogoro wakati wa ziara ya kugawa vifaa kwa shule za msingi za wanafunzi wenye  mahitaji maalum kwa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro na Dodoma Julai 29 na 30,2021.