• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Kikao cha Menejimenti

Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Andrew Massawe, akizungumza na menejimenti ya OSHA alipofanya ziara katika ofisi za taasisi hiyo za jijini Dar es Salaam.