• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

MAONESHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana na wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, akizungumza na waonyeshaji katika banda la Kampuni ya Sukari ya Kilombero alipotembelea maonesho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi duniani.