• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

SHULE YAWEZESHWA KOMPYUTA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe.Ummy Nderiananga (wapili kulia) akiwa na Mtendaji Mkuu OSHA- Khadija Mwenda (katikati)  pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija.(wakwanza kulia) wakikabidhi kompyuta kwa uongozi wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya  Ilala jijini Dar es Salaam