• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

TUZO ZA USALAMA NA AFYA-2021

Washindi katika vipengele mbali mbali vya tuzo za Usalama na Afya mahali pa kazi kwa mwaka 2021 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa tuzo zao siku ya kilele cha maadhimisho hayo, Aprili 28.