• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Naibu wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Patrobas Katambi, akifanyiwa baadhi ya vipimo vya afya katika banda la OSHA wakati wa maonesho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi duniani. Maonesho hayo yalifanyika katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.