Mkaguzi wa Mazingira ya Kazi wa OSHA, Renatus Qalqal, akifanya baadhi ya vipimo vya kimazingira ili kujiridhisha kuhusu usalama wa wafanyakazi katika moja ya viwanda vinavyozalisha chakula cha kuku.