• +255-22-2760548/2760552
  • info@osha.go.tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

UZINDUZI WA MAONESHO

Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akizungumza na wadau wa masuala ya usalama na afya (hawako pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi duniani.