OSH TRAINING TO JUDICIARY EXECUTIVES
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania, Dkt. Mustapher Siyani akifungua mafunzo kwa Watendaji wa Mahakama Kanda ya Kati yaliyoandaliwa na OSHA kwakushirikiana na Mahakama Kuu-Divisheni ya Kazi na kuwezeshwa na OSHA.