- April 28, 2022- DODOMA
HOTUBA YA MGENI RASMI SAFETY DAY 2022
Hotuba hii ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi Duniani iliyofanyika kitaifa Mkoani Dodoma katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre.
Soma Zaidi