Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Image
  • Sunday 4th of September 2022

KAMATI YA BUNGE YAITAKA OSHA KUONGEZA ELIMU KWA UMMA NA MWANDISHI WETU

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeutaka Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuongeza uelewa wa masuala ya usalama na afya mio... Soma Zaidi
Image
  • Monday 8th of August 2022

SERIKALI YAWATAKA WENYE VIWANDA KUIJALI NA KUILINDA NGUVUKAZI

Serikali imewataka wamiliki wa viwanda nchini kuijali na kuilinda nguvukazi inayotumika katika uzalishaji ili kuwa na uzalishaji endelevu na wenye tija kwa maen... Soma Zaidi
Image
  • Tuesday 26th of July 2022

WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA WENYE VIWANDA KUTEKELEZA SHERIA ZA KAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako, amewataka wamiliki wa maeneo ya kazi nchini kutekeleza ipas... Soma Zaidi
Image
  • Monday 18th of July 2022

OSHA YAJIPANGA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeelezea nia yake ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini kupitia uimarishaji wa mifumo ya usala... Soma Zaidi
Image
  • Wednesday 13th of July 2022

NAIBU WAZIRI AWATAKA WAAJIRI KUSAJILI MAENEO YA KAZI OSHA

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, amewataka wamiliki wote wa maeneo ya kazi ku... Soma Zaidi
Image
  • Friday 8th of July 2022

MSEMAJI WA SERIKALI AWATAKA WADAU KUSHIRIKIANA NA OSHA

Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa, ametoa wito kwa waajiri na wafanyakazi kutoa ushirikiano kwa Wakala wa Usalama na A... Soma Zaidi