MAFUNZO KWA WATENDAJI WA MAHAKAMA
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu-Divisheni ya Kazi, Dkt. Yose Mlyambina, akitoa salamu katika ufunguzi wa mafunzo kwa Watendaji wa Mahakama Kanda ya Kati yaliyoandaliwa na OSHA kwakushirikiana na Mahakama Kuu-Divisheni ya Kazi.