OSH TRAINING TO JUDICIARY EXECUTIVES
Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akiwasilisha salamu za Taasisi yake katika ufunguzi wa mafunzo kwa Watendaji wa Mahakama Kanda ya Kati yaliyoandaliwa na OSHA kwakushirikiana na Mahakama Kuu-Divisheni ya Kazi.