Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

MAFUNZO KWA WATENDAJI WA MAHAKAMA

Mkufunzi wa Mafunzo ya Huduma ya Kwanza Mahali pa Kazi, Moteswa Meda, akitoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa vitendo katika program ya mafunzo kwa watendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Kati yaliyotolewa na OSHA hivi karibuni.