Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

UKAGUZI

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Kazi, Mhe. Patrobas Katambi, akiwa emeambatana na wataalam kutoka OSHA katika ziara ya kukagua hali ya usalama na afya katika moja ya kiwanda cha bidhaa za chuma kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani.