Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

MAFUNZO KWA TAASISI ZA UMMA

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Watu wenye Ulemavu, Mhe. Ummy Nderiananga, akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa mafunzo ya Usalama na Afya mahali pa kazi kutoka Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakati wa hafla ya kufungua mafunzo hayo kwa Taasisi za Serikali na Mashirika ya Umma.