MAFUNZO WACHIMBAJI WADOGO BUKOMBE
Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi.Khadija Mwenda, akisisitiza juu ya umuhimu wa matumizi sahihi ya vifaa kinga baada ya kukamilika zoezi la kukabidhi vifaa kinga kwa wanachama wa Umoja wa Wanawake Wachimbaji Bukombe (WAWABU) katika hafla ya kufunga mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi yaliyotolewa kwao na OSHA.