Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

MAFUNZO WACHIMBAJI WADOGO BUKOMBE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus Sangu (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na washiriki wa mafunzo katika hafla ya kufunga mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi kwa wanachama wa Umoja wa Wanawake Wachimbaji Bukombe (WAWABU).