Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

OSHA SEKTA YA UVUVI SENGEREMA


OSHA Kanda ya Ziwa imeendelea kutembelea maeneo mbalimbali ya kazi na kutoa elimu ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi, ikiwajengea wafanyakazi uelewa wa kutambua vihatarishi na kuchukua hatua stahiki za kujikinga na ajali na madhara yanayoweza kutokea.

Katika kampeni hio ilionza hivi karibuni zaidi ya wafanyakazi 150 wa kampuni zinayojishughulisha na ufugaji wa samaki kwa vizimba zilizopo Wilaya za Sengerema na Kwimba, mkoani Mwanza zimefikia na elimu hio.