Khadija Mwenda
Kaimu Mtendaji Mkuu

Makao makuu

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi,
S.L.P 519,
Dar es Salaam

Nukushi : +255-22-2760552
Simu : +255-22-2760548/2760552
Barua pepe : info@osha.go.tz

Wachimbaji wadogo wa kokoto wakiendelea na kazi bila vifaa kinga vinavyohitajika katika machimbo yaliyopo Boko nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. OSHA ilitoa mafunzo ya Usalama na Afya mahali pa kazi kwa wachimbaji husika hivi karibuni.

Mkufunzi wa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa vitendo wa OSHA, Bw. Hans Mpera, akitoa mafunzo kwa watu wenye matatizo ya kusikia katika ukumbi wa Shule ya Viziwi Buguruni jijini Dar es Salaam.

Meneja wa OSHA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Bw. Faston Uswege, akiwaelimisha wachimbaji wa wadogo kuhusu afya na usalama wao wanapokuwa kazini. OSHA iliwatembelea wachimbaji katika machimbo ya Itumbi wilayani Chunya kwaajili ya kuwapa elimu ya Usalama n

Watu wenye matatizo ya kusikia wakifuatilia mafunzo ya Usalama na Afya mahali pa kazi yaliyokuwa yakitolewa na OSHA katika ukumbi wa Shule ya Msingi Viziwi iliyopo Buguruni jijini Dar es Salaam

Mkaguzi wa Mazingira wa OSHA, Renatus Qalqal, akiwafundisha wachimbaji wa wadogo kuhusu usalama na afya mahali pa kazi. Mafunzo haya yalifanyika katika ukumbi ulipo karibu na machimbo ya Itumbi wilayani Chunya mkoa wa Mbeya.